Mwimbaji na super star kutoka Uganda
Zari The Boss Lady na Diamond Platnumz kutoka Tanzania wamefanya wimbo
kwa lugha ya kiswahili hapa Dar es salaam.
imepata taarifa za mwanzo kuwa walikuwa studio za Surround Sound
Studios. Walienda studio saa mbili kamili na kutoka saa kumi asubuhi,
Hii ndio post ya Zari kuhusu muda wao Dar es salaam. Tudd Thomas ndio
producer wa hii kazi.Picha, Diamond Platnumz Na Zari The Boss Lady Waliingia Studio Kurekodi Wimbo,Producer Pia Ndio Huyu.
Mwimbaji na super star kutoka Uganda
Zari The Boss Lady na Diamond Platnumz kutoka Tanzania wamefanya wimbo
kwa lugha ya kiswahili hapa Dar es salaam.
imepata taarifa za mwanzo kuwa walikuwa studio za Surround Sound
Studios. Walienda studio saa mbili kamili na kutoka saa kumi asubuhi,
Hii ndio post ya Zari kuhusu muda wao Dar es salaam. Tudd Thomas ndio
producer wa hii kazi.
ConversionConversion EmoticonEmoticon