Picha Za Jay Z,Beyonce Na Mtoto Wao Blue Ivy Kwenye Harusi Ya Solange

Dada wa msanii wa Rnb Beyonce 'Solange' mwenye miaka 28 amefunga ndoa weekend hii na mpenzi wake wa muda mrefu Alan Ferguson '51'.

Beyonce, Jay Z na mtoto Blue Ivy wamehudhuria harusi ya Solange huku wamevalia nguo nyeupe. 





 
 
 

 
Previous
Next Post »