QS MHONDA J ENTERTAINMENT YAMPELEKA MSANII CHIPUKIZI KUFANYA VIDEO AFRIKA KUSINI


Mwanamuziki Amour Genius.
QS Mhonda J Entertainment imempeleka msanii wake chipukizi aitwaye AMOUR GENIUS nchini Afrika Kusini kufanya video ya wimbo wake mpya uitwao WANIMALIZA ambao amemshirikisha ‘hit maker’ wa wimbo wa MAUMIVU – KADJA NITO.
Previous
Next Post »