Avril '28' alitambulishwa kwenye muziki Afrika Mashariki na nyimbo zake kama Mama, Mimi na wewe, Hakuna Yule na kitu kimoja. Baada ya show nyingi tu kupitia hit song yake Chokoza aliyofanya na Mayra, alikaa kimya kwa muda huku pakiwa na uvumi kuwa mpenzi wake mpya ndiye anachukua muda wake zaidi.
Hii video mpya ya Avril inaitwa Nikimuona, Nipe Comment yako kuhusu video hii hapo chini Mwanangu.
Hii video mpya ya Avril inaitwa Nikimuona, Nipe Comment yako kuhusu video hii hapo chini Mwanangu.
ConversionConversion EmoticonEmoticon