Hatuwezi Kuwa Na James Bond Mweusi ? Idris Elba Ajibu Mashambulizi Ya Waliomponda Sababu Ya Rangi Yake.

idris
Staa wa filamu ya The ‘Mandela: Long Walk to Freedom  Idris Elba ametoa mtazamo wake kuhusu uvumi kuwa anatarajiwa kuchaguliwa kuigiza kama James Bond kwenye filamu za 007  zijazo.

Kilichopeleka Idris kutoa mtazamo wake ni maneno mabaya ya ubaguzi yaliyotolewa na baaddhi ya mashabiki wa filamu hio kutoka Uingereza waliosema Idris ni mweusi ha wawezi kuwa James Bond kwa  sababu ya rangi yake.
Kupitia twitter Idris ameandika “Isn’t 007 supposed to handsome? Glad you think I’ve got a shot! Happy New year people,
Twit ya Idris inamaana ” Si 007 anatakiwa awe na mvuto ? nashukuru mnaodhani natakiwa kupata nafasi hii, heri ya mwaka mpya watu
Limbaugh amesema husika ya James Bond ilitengenezwa na Ian Fleming kachero aliyefanya kazi MI6 ya Uingereza na James Bond alikuwa mweupe na Mscottish. Aliendelea kusema tumekuwa na James Bond weupe kwa miaka 50 sasa , nilazima awe Mscottish na awe anakunywa vodka iliyotingishwa na sio kukorogwa.
idrs 12
Previous
Next Post »