Kama unampango wa kumtangaza mpenzi wako, basi jumatatu ni siku nzuri ya kufanya hivyo ili mzungumziwe wiki nzima.
Msanii wa Rnb Sevyn Streeter aliyezushiwa kuwa ni mpenzi wa Chris Brown wiki chache zilizopita ameweka wazi kuwa mpenzi wake ni msanii wa hiphop B.O.B Ambaye yuko chini ya record lebel ya T.I.
Info nilizopata baada ya upekuzi ni kwamba Sevyn Streeter ameanza kutoka na B.O.B toka mwezi wa saba mwaka jana walivyokutana studio kutengeneza wimbo wao.
Sevyn Streeter alifanya wimbo na Chris Brown “It Won’t Stop” hii ndio video.
ConversionConversion EmoticonEmoticon