Rap Genius yatangaza orodha ya wasanii na nyimbo zilizofuatiliwa zaidi 2014.

drake
Rap Genius wametangaza rasmi kuwa rapa Drake ndio msanii aliyefuatiliwa zaidi kwenye mtandao wao wa mashairi.
Ukizingatia Drake hajatoa album 2014, ameweza kuwa juu ya wasanii wakubwa kamEminem, Kendrick Lamar, Kanye West, Lil Wayne na J. Cole.
Pia wimbo uliofuatiliwa zaidi kwenye mtandao wao ni wa Beyonce na Jay Z “Drunk in Love,” ukifuatiwa na wa Eminem “Rap God,” na watatu ni Bobby Shmurda “Hot N*gga.”
MOST VIEWED SONGS IN 2014
Beyonce ft Jay Z – “Drunk In Love”
Eminem – “Rap God”
Bobby Shmurda – “Hot Nigga”
Rich Gang – “Lifestyle”
Beyonce – “Partition”
Drake – “0-100/The Catch Up”
Lil Wayne ft. Drake – “Believe Me”
The Weeknd ft. Ty Dolla $ign & Wiz Khalifa- “Or Nah Remix”
Kendrick Lamar ft. MC Eiht – “m.A.A.d city”
Big Sean ft. E-40 – “I Don’t Fuck With You”
MOST VIEWED ARTISTS IN 2014
Drake
Eminem
Beyonce
Kanye West
Kendrick Lamar
Childish Gambino
Jay Z
Lil Wayne
J. Cole
The Weeknd
Previous
Next Post »