Msanii wa pop Willow Smith amezua utata kwenye mitandao baada ya kuweka picha inayoonyesha umbo la maziwa yake. Willow mwenye miaka 14 ambaye ni mtoto wa mwigizaji Will Smith na Jada amepokea mitazamo hasi kuhusu picha hii huku watu wengine wakilaumu malezi ya wazazi wake.
Baada ya muda mfupi picha hio ilitolewa kwenye kurasa yake ya instagram.
ConversionConversion EmoticonEmoticon