Imekuwa kawaida kila mwaka pale ambapo matokeo yanapotoka watu
wengenge utalajia mambo mazuri ata yulealiye kuwa kilaza dalasani naye
anaamini atafaulu tu ila matokeo yake mambo yanakuja kutokana na kile
ulicho panda kama ulipanda mawe basin ni mawe unatakiwa kuvuna
Kinachosikitisha Zaidi ni pale wanapo chukua hatua kama huyu
Kijana mmoja ajulikanaye kwa jina John Maduhu wa KIjiji cha
Pandagichiza, Wilaya ya Shinyanga vijijini kaamua kujinyonga baada ya
matokeo ya kidato cha nne yaliyotoka jana kumjia vibaya, akiongea na
mwandishi, kaka wa marehemu alisema kuwa baada ya matokeo kutoka, JOhn
alitoweka nyumbani
Mungu atusaidie na atusamehe kwa dhambi hizi
ConversionConversion EmoticonEmoticon