ARSENAL FC WATEMBEZEWA KIPIGO NA TOTTENHAM CHA BAO 2 - 1

Wachezaji wa timu ya Tottenham wakishangilia baada ya kufunga bao la pili dakika ya 86.
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger (kushoto) akisalimiana na Kocha wa Tottenham, Mauricio Pochettino.
Wachezaji wa timu ya Arsenal wakimpongeza Mesut Oezil (wa pili kutoka kushoto) baada ya kufunga bao pekee la timu hiyo dakika ya 11.
Danny Welbeck (katikati) akionyeshwa kadi ya njano na refa Martin Atkinson baada ya kumchezea vibaya Danny Rose.
Christian Eriksen (mbele jezi namba 23) akimtoka kiungo wa Arsenal, Aaron Ramsey.
Previous
Next Post »