JIDE:Gadner Alitembea na Wahudumu wa Restaurant Yangu na ................. Mbele Yangu

Moja ya Majibu ya Lady Jay Dee Alipoulizwa Swali hili na Shabiki wake: Huoni kama umejishushia heshma kuachana na mume? JIBU : Sioni hivyo, ila naona nilikuwa najishushia heshma zaidi kuishi na mume asie na heshma, anaeweza kutongoza na kushika wanawake makalio wakati mi niko jukwaani naimba. Kuwapa mademu magari yangu waendeshe na kuyagonga wakati niko safarini . Ukiachilia mbali vipigo. Kutembea na wahudumu wa restaurant yangu. Ushahidi ninao. …..niliwahi mkuta anawashika mapaja na akakiri kosa. bado kupigana na kuwatusi wateja pia. Kifupi ilikuwa ni ndoa ya mateso. Imechapishwa na @SwahiliFive Follow us on Twitter
Previous
Next Post »