PICHA za wema na ommy zimekuwa gumzo kwenye mitandao eti wanasema wapo kwenye project flaniii hivi.....!

hahaha.... sawa baada ya kukiri nao wapo kwenye project flani so amazing... wakaaamua kuachilia picha za project hiyo kwenye mitandao aliinza ommy dimpoz akafatia wema

ila sio mbaya kila mtu akitoka na anayempenda na wema kutoka na shemeji .....kweli shemeji shemeji imekuwaaaaa project so amazing yetu macho.....!

PICHA:Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz lazidi kuchanua, Watupia picha wakiwa kitandani!!Timu ya wema wengi wanasema sasa ni mda wa bidada kupata kitumbo maan wanasema ommy ni HB kushinda jamaaa.....! unaweza kushare kama unasema wanafaa kuwa couples

Baada ya kuwa ni wazi sasa kuwa wawili hao wapo kwenye Le Project flani Amazing..sasa wameamua kutupia picha kwenye kurasa zao za mitandaoni wakiwa kitandani. Alianza Ommy na badae akafuta Wema ambae aliweka picha hizo jana usiku na kuwatakia followers wake usiku mwema. Penzi la watu hawa linaendelea kuzua mvutano mkali kati ya wale ambao wanaona sawa na wale ambao wanaona kama sio sawa, wanaosema sawa wanasema kuwa baada ya watu kuachana kila mmoja ana haki ya kula maisha na anaempenda hivyo hakuna dhambi kwa wema kula raha na alikuwa shemeji yake, huku wengine wakisema wawili hao wanakosea kwasababu Ommy na Diamond ni marafiki wa karibu sana na kutilia mashaka kuwa pengine inawezekana walikuwa wakitamaniana toka enzi za Wema alipokuwa na Diamond. PICHA:Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz lazidi kuchanua, Watupia picha wakiwa kitandani!! Ila team Wema wengi wanasema sasa ndio muda wa bidada nae kupata kitumbo…tena Ommy ni HB kushinda jamaa….

Soma zaidi hapa >>: http://www.swahilifive.com/2015/02/BNE.html
Copyright © Swahili Five
Baada ya kuwa ni wazi sasa kuwa wawili hao wapo kwenye Le Project flani Amazing..sasa wameamua kutupia picha kwenye kurasa zao za mitandaoni wakiwa kitandani. Alianza Ommy na badae akafuta Wema ambae aliweka picha hizo jana usiku na kuwatakia followers wake usiku mwema. Penzi la watu hawa linaendelea kuzua mvutano mkali kati ya wale ambao wanaona sawa na wale ambao wanaona kama sio sawa, wanaosema sawa wanasema kuwa baada ya watu kuachana kila mmoja ana haki ya kula maisha na anaempenda hivyo hakuna dhambi kwa wema kula raha na alikuwa shemeji yake, huku wengine wakisema wawili hao wanakosea kwasababu Ommy na Diamond ni marafiki wa karibu sana na kutilia mashaka kuwa pengine inawezekana walikuwa wakitamaniana toka enzi za Wema alipokuwa na Diamond.

Soma zaidi hapa >>: http://www.swahilifive.com/2015/02/BNE.html
Copyright © Swahili Five
Previous
Next Post »

1 comments:

Click here for comments
9 February 2015 at 13:37 ×

:p

Congrats bro SwahilichoiceTz you got PERTAMAX...! hehehehe...
Reply
avatar