Picha,Mtoto wa Kanye West ‘North’ avalishwa Bulletproof awe salama zaidi.



Mtoto wa rapa Kanye West ‘North West’ amekuwa akipewa ulinzi sana haswa wanapokuwa kwenye safari za hapa na pale, Kwenye hizi picha tunamuona mtoto wa staa Kim Kardashian akiwa amevalishwa ‘Kikingia Risasi’ Bullet Proof ya mtoto familia yake ilipokuwa kwenye show ya uzinduzi wa viatu vya Kanye West huko New York.
kanye 1 kanye 2 kanye 3 kanye 4
Previous
Next Post »