Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

Asalaam aleykum !
Dr slaa amemtembelea mtumishi wa bwana askofu Gwajima, hali ilikuwa shwari utulivu wa hali ya juu na ulinzi ukiwa umeimarishwa mara dufu.

Nimejaribu kudadisi afya ya Gwajima inaonekana inaendelea vema na baadae tutajulishwa zaidi akipata nafuu na kuruhusiwa. Makachero wanamlinda Gwajima ila kivutio ulikuwa ujio wa Dr Slaa shughuli zilisimama na wagonjwa wakapata nafuu nakusema yuko wapi Rais wa mioyo ya watu tumshike mkono!
Previous
Next Post »