HATIMAYE KLYN AFUNGISHWA NDOA NA REGINALD MENGI NCHINI FRANCE PARIS


hayawihayawi sasa yanekuwa as we know yakuwa wawili hawa safari yao imekuwa ya mda mrefu, tulianza kuona klyn akipata uja uzito, then kujifungua na kuvishwa pete siku ya
birthday yake huko dubai, finally mwanadada huyo jackuline kly leo amefanikisha kufunga ndoa huko ufaransa paris na reginald mengi
Previous
Next Post »