HAKIKA ABDU BONGE ALIKUWA KIPENZI CHA WATU MAJONZI NA HUZUNI VYA TAWALA TIP TOP POLENI SANA NDUGU ZANGU..!

Msanii wa Bongo Movie NIVA
akiwa na Meneja Masoko AccessBank Mr Muganyizi katika msiba 

 Msanii wa hip hop kutoka tamaduni muziki Sterio akiwa na Jabir mtangazaji wa TimesFm



 Koba mwanamuziki kutoka morogoro akiwa msibani

 Mirrow kutoka EndlessFame akiwa na Petman Wakuache 
 Jordan na Ali Runa 

 Master J pamoja na Diamond Platnumz
 Pnc akiwa na Best naso 
 Mr Muganyizi pamoja na wasanii Koba ,Jabir wa Times FM
 Shetta ,Diamond, na Hakim 5

 Diamond Platnumz akiwasili katika msiba Tip Top Manzese
 Shetta akiingia msibani pamoja na Mwarabu,Team WCB
 Mkubwa Fella akijadili jambo
 Djku akiwa anazungumza machache juu ya kifo cha Abdu bonge na Sterio,Mr Muganyizi Afisa Masoko AccessBank.
 Kasimu Mganga moja ya wasanii  wa kundi la Tip Top conection



 Sterio akikabidhiwa daftari la rambirambi na Mkubwa Fella


 Master J Mkurugenzi wa MJ REC
 Babu Tale mdogo wa marehemu

Abdu Bonge alifariki jana Nyumbani majira ya Jioni alipokuwa akiamulia ogovi wa watu wake wa karibu ndipo alianguka vibaya kwenye sakafu na kupoteza Maisha, Mwili bado uko hosptal kwa Uchunguzi zaidi na taratibu zikikamilika kesho mwili utasafirishwa kuelekea Morogoro Mbuyuni Kilometa takribani 100 kutokea Morogoro Mjini ambako ni Nyumbani kwa Marehemu. kwa sasa msiba upo Magomeni Njiapanda ya Kagera maskani ya Tiptop Connection.
 
 MB Doggy Msanii kutoka TipTop Connection akizungumza jambo na Rafiki waliotembelea Msibani hapo.
 Mkubwa Fella akipitisha Daftari la michango kwa Ndugu na Jamaa waliofika Msibani.
 Mdogo wa Marehemu Mjomba Iddi mwenye Fulana Nyekundu akizungumza jambo na Rafiki Msibani hapo.
 Mdogo wa Marehemu Kwembe Taletale a.k.a DJ K Man mwenye Fulana Nyeusi akizungumza jambo na Ndugu na Jamaa Msibani hapo.
 Tunda man Akilia kwa Uchungu kabisa akiwa na Babu Tale Msibani Magomeni Njiapanda ya Kagera Maskani ya Tiptop Connection.
Previous
Next Post »