Zari Hassan kupitia account yake ya Instagram ameandika historia ya dada huyu ambaye alichomwa kwa moto mwili wake na mama yake wa kambo mnamo mwaka 2006.
Kupitia account yake Zari ameandika maneno juu ya binti aitwaye Nabukera aliye chomwa moto mwilini na mama yake wa kambo lakini hakikuwa kikwazo kwenye maisha ya binti huyu. Alijiunga kwenye chuo akiwa na ndoto kubwa.
Her name is Nabukera, her step mom burnt her but she has never let that be an obstacle. She is joining university with bigger dreams. Thats when I say:Zari ameandika maneno hayo hapo juu nakusema usiruhusu historia yako kuharibu ndoto zako. Unastahili kufanikiwa, unatakiwa kufikia malengo yako hata kama maisha yako na historia yako haikuwa nzuri.
Never let your past determine the outcome of your future. You deserve the absolute best & your past shouldn't hold you back."
ConversionConversion EmoticonEmoticon