Habari zilizotufikia hivi
karibuni ni kwamba Ostazi Juma na Musoma amechoka mbaya. Habari hizi pia
zimethibitishwa na PNC, yule msanii aliyempigia magoti Ostazi kumuomba
msamaha na kujikuta akidhalilisha kwa Video na Picha kuwekwa mtandaoni
na Juma
Kweli wahenga walisema
you'll pay da price to be da boss na sasa Ustadh yupo katika wakati
mgumu anasota na wire kama Dallas wa Wolper.
ConversionConversion EmoticonEmoticon