Picha; Jezi mpya itakayotumika na Manchester United msimu ujao

Uzi mpya wa Manchester United Wakati mwaka unakaribia kumalizika huwa tunaona picha nyingi za vifaa vya kimichezo vitakavyotumika msimu ujao leo nimeamua kuwaonesha uzi mpya utakaotumiwa na klabu ya Manchester united msimu ujao wa mwaka 2016/2017. Ambapo timu ya Manchester United imejitoa katika kampuni ya vifaa vya michezo ya NIKE na kuingia mkataba mnono na kampuni nyingine vifaa vya michezo ambayo ni mshindani mkubwa wa kampuni hiyo ya NIKE. ADIDAS pia imeipiku NIKE kwenye timu ya Juventus ya Italy

Previous
Next Post »