Siku hizi ajali zimekuwa nyingi sana barabarani tena nyingi zikihusisha
mabasi ya abiria kugongana na lori au basi kwa basi na kusababisha ndugu
zetu wengi kupoteza maisha.. Ukifatilia kwa makini utaona nyingi
zinasababishwa na Madereva wetu ku-overtake gari la mbele yake sehemu
zenye hatari.. Hiii inasikitisha sana maana watu wengi wanapotea kwa
uzembe mdogo tu.
Je haya pia ni mapenzi ya Mungu kuwa watanzania wapoteze maisha kwa
ajali zisababishwazo na uzembe barabarani pamoja na mwendokasa?
Kwa upande wako wewe, una lipi la kusema juu ya hili?
ConversionConversion EmoticonEmoticon