Madaktari, wanasiasa, wafanyabiashara wamekuwa wakitoa misimamo yao
lakini hawabughudhiwi iweje Gwajima tu? Nitaendelea kuwapa vidonge vyenu
kila mtakapopotoka, nafanya kazi ya bwana,” alisema Gwajima
Kuhusu utajiri wake pia Gwajima amesema anashangazwa na vyombo vya
Serikali vinavyohoji utajiri alionao bila kujua anaongoza idadi gani ya
waumini. Alisema anaongoza kanisa lenye waumini zaidi ya 70,000 ambao
akiwaomba kila mmoja ampe Sh1,000 tu atakuwa na Sh70 milioni, na kama
wakiamua kutoa elfu 10, 000 basi atakuwa na milioni 700.
Nini mtazamo wako katika hili? Na unapenda mwambia nini Gwajima?
ConversionConversion EmoticonEmoticon