Msanii
wa bongo Fleva Rich Mavoko amekanusha tuhuma za kujichubua Baaada ya
blog hii kuweka Picha zake Hapa zikionyesha Kuwa Mweupe tofauti na
zamani...
Rich Mavoko amefunguka na Kusema Haya:
Rich Mavoko amefunguka na Kusema Haya:
“Lazima
tuangalie wakati hizi picha zilipigwa, hio picha nikiwa na dred Locks
ni yazamani sana na siku na simu bora wala application za kuedit picha
kama sasa, Hii picha mpya nimepiga na Iphone” .
Rich
Mavoko ameongezea kuwa “Hata maisha yangu yamebadilika,so ni kung’aa tu
kwa mtu na sio kujichubua, wanaonijua watasema sijabadilika zaidi ya
kung’aa tu“.
ConversionConversion EmoticonEmoticon