Salaam,nimesoma kwenye nipashe nape akimtaka kuanzisha upinzani wa
ukweli sio kama wa chadema.kwa mujibu wa nape amesema chadema siasa zao
zinaligawa taifa.mimi najiuliza ni upinzani gani anaoongelea nape kwa
zitto? maana ili taifa lisigawanyike lazima wote tuwe ccm na ni upinzani
gani anaomtaka zitto kuanzisha nakuifurahisha ccm?Nape Amtaka Zitto Kujenga Upinzani wa Kweli na Kuachana na Siasa Kama za Chadema
Salaam,nimesoma kwenye nipashe nape akimtaka kuanzisha upinzani wa
ukweli sio kama wa chadema.kwa mujibu wa nape amesema chadema siasa zao
zinaligawa taifa.mimi najiuliza ni upinzani gani anaoongelea nape kwa
zitto? maana ili taifa lisigawanyike lazima wote tuwe ccm na ni upinzani
gani anaomtaka zitto kuanzisha nakuifurahisha ccm?
ConversionConversion EmoticonEmoticon