Mwanamuziki Diamond Platnumz na Zari The Lady Boss Wafunga Ndoa!

ioni ya Jana Zimesambaa picha zikionesha Diamond na Zari wakiwa katika Mavazi kama ya Harusi ni kiwa na maana Shela na Suti ....Je watu hawa wameamua kuoana ama ni picha za kutubeep? Picha hizo zimeacha maswali mengi juu ya wawili hawa....week iliyopota Diamond alimvisha Zari Pete ya Uchumba... Diamond aliweka Picha hiyo na Kuandika Maneno haya Hapa chini: 'Wakati Mwingine Usiri Unabaraka zaidi.......

ConversionConversion EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng