
Hata hivyo bado watu wengi hawajaamini kuwa mrembo huyo kwasasa ni mjamzito na hata lulu mwenyewe hajaweka wazi kuwa kwasasa ni mama kijacho japo wanasema “kusoma haujui hata kuona picha?”.
Wachache wanaohisi kuwa hizi ni picha akiwa anarekodi filamu kwa hoja kuwa tumbo la mimba huwa halipo hivyo, hawa wanaweza kuwa wanakaribia kwenye ukweli.
Tuendelee kusubiri.
ConversionConversion EmoticonEmoticon