Picha Zingine za Wema Sepetu na Idriss Usiku Mnene Wakinong'onezana na Kufutana Jasho Zazidi Kuzua Maswali


Baada ya zile Picha za Mrembo Wema Sepetu akiwa na Mshindi wa Big Brother wakifanya shopping kuzua maswali mengi mtandaoni hapo juu nimekuwekea zingine wakiwa kiwanja cha starehe Escape one wakila bata kwa raha zao huku ukaribu wao ukionekana zaidi kwa kufutana jasho na muda mwingine kushikana shikana huku wakinong'onezana kwa chini chini....

Tupe Maoni yako
Previous
Next Post »