Staa wa mrembo wa Bongo Movie, Batuli ameonyesha kuchukizwa
kwake kwa kitendo cha staa mwenzake, Kitale kuvujisha picha hizi akiwa
faragha na mwigizaji chipukizi, Stanbakora ikiwa ni kati ya moja ya
kipande cha kazi yao mpya, kwa madai kuwa anaipa ‘promo’.
Kupitia ukurasa wake mtandao Batuli ameeleza kuwa Kitale
alimpa picha hizo Mateja ambaye ndiye aliezisambaza kwenye mtandao wa
Instagram.
“Kwanza mniwie radhi Watanzania mnachokiona na
kinachoelezewa ni vitu viwili tofauti mwenye akili timamu anapata jibu
kamili. @mkudesimbaoriginal nikuulize hivi wakati unampa
@matejamusa picha ulimwambia ni za nini!? hivi naweza kuwa faragha mbele
ya camera!?
"Hata kama unapromote movie hii sio kiivyo kama
kupromote kitu ndio hivi basi fani yetu imejaa mazumbukuku, hii ni scene
iliyopo kwenye movie sioni sababu ya kunichafua kijinga hivi, kizuri
kinajiuza @mkudesimbaoriginal kuandika shit sio njia sahihi ya kupromote kazi yako”- Batuli aliandika.
ConversionConversion EmoticonEmoticon