DIAMOND Atoa bonge La dongo kwa wema Azugia show ya Moshi

Kweli Mwanamuziki Diamond ni Mtoto wa Uswahili yaani akosi kitu kipite......
Hili ndio 'dongo' ambalo Diamond amtupia Wema Sepetu baada ya kushindwa uchaguzi wa viti maalum CCM...
Hili ndogo ni la pili baada ya lile la kwanza alilompiga Jokate wakati alipopata tuzo ya MTV...
Je kuna ulazima Diamond Kufanya Hivyo ?
Previous
Next Post »