Mariah Carey kuonekana kwenye msimu mpya wa Empire...

Tarajia kumuona Mariah Carey ndani ya Tamthilia ya Empire ambayo inaendelea kuwakutanisha mastaa kibao ndani yake.

Lee Daniels, co – creator wa tamthilia hiyo alithibitisha kwenye sherehe ya Walk Of Fame ya Mariah Carey Jumatano hii. 
“ I love you with all my heart and am so proud of you. Watch her on Empire, you guys. She’s coming on Empire.” Alisema Daniels. Msimu wa pili wa Empire utaanza kuoneshwa September, 2015.
Previous
Next Post »