Nicki Minaj anaujauzito, amwita Meek Mill ‘Baby Father’ kwenye jukwaa.

nicki-minaj-meek-millStori ya Nicki Minaj kuwa na ujauzito imesamba kwenye mitandao tofauti ya udaku baada ya rapa huyu kumwita mpenzi wake Meek Mill kwa jina ‘Baby Father’ kwenye jukwa la Pinkprint mjini Pennsylvania.
“Make some noise for my baby father,” aliwaambia mashabiki akiwa na Meek Mill
Previous
Next Post »