Mtoto wa Wayne Rooney alivyokutana na Neymar, Messi, Suarez na Pique Hispania (Picha)


Mtoto wa mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza na nahodha wa klabu ya Manchester United Kai Rooney alionekana mwenye furaha, katika mapumziko ya mwisho wa wiki na mama yake mzazi Coolen Rooney wakiwa Hispania kwani alipata bahati ya kukutana na wachezaji wa FC Barcelona.
CNuEGMjWIAA71TR
Kai Rooney ambaye ni mtoto wa Wayne Rooney alionyesha kuwa na furaha kupata bahati ya kukutana na Lionel Messi, Suarez, Neymar na Pique hivyo mama yake aliamua kuiweka picha aliyopiga mtoto wake na mastaa hao katika mtandao wa twitter na kumshukuru beki wa zamani wa Man United Gerard Pique.
1
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi
Previous
Next Post »