Mario aendelea kuimbiza mziki mzuri Tanzania

Marioo (born Kibiti, Pwani, Tanzania) is a singer of Bongo Flava, also a composer and producer of the songs that appeared in Tanzania. Tanzanian fast-rising artist, Marioo is back again with another astonishing banger titled Beer Tamu, Featuring Tyler ICU X Visca & Abbah Process SIMILAR: Marioo – WOW Marioo – Bia Tamu Lyrics Etii!! baby wangu anivuruge ubongo Hata kazini kwangu Wanichanganye kichwa Mhhh!!! Wee!!! Sio kweli Weee!!! Bia tamu kwa maoni ya wengi wa tanzania wanasema Mario ndo Diamond wa badaye katika mziki kutokana na kukimbiza kwenye Mziki kwa sasa akiwa ametoa nyimbo kadahaa ambazo zinaendelea kufanya vizuri kwenye tansia ya Muziki. Hivyo kutokana na kibao cha bia Tamu ambacho kinakimbiza pande nyingi katika burudani sisi wadau Tunamuombea kila la kheri katika kazi yake , Big love to you Mario endelea kutuburudisha. enjoy the song
Previous
Next Post »