Taarifa za awali zimeanza kusambaa
kupitia watu mbalimbali maarufu Tanzania ambao wameaanza kuonyesha
masikito yao akiwemo msanii Bob Junior kuhusu kifo cha mzee Manento
ambaye inadaiwa amefariki jana usiku.
Bongoclassictz inaendelelea kufuatilia kwa ukaribu kuhusiana na taarifa ya msiba huo.
ConversionConversion EmoticonEmoticon