Mtuhumiwa namba 1 wa kesi ya mashambulizi ya jengo la Westgate, Samantha Lewthwaite ameuawa kwa kupigwa risasi.
Samantha Lewthwaite
Taarifa zinasema mtuhumiwa huyo ambaye alikuwa akifahamika kama
“White Widow” ameuawa Ukraine katika mapambano ambapo alikuwa akipambana
upande wa kikosi cha wapiganaji wa Aidar.
Samantha amekuwa akituhumiwa kuhusika na
matukio kadhaa ya mashambulizi ikiwemo la Westgate Kenya 2013, japo
mengi ya matukio hayo haikuwahi kuthibitika juu ya ushiriki wake katika
matukio hayo.
ConversionConversion EmoticonEmoticon