Kim Kardashian: Kumbe ndoto za ustaa wake zilianzia huku (Pichaz & video)

northUmaarufu wa mwanamitindo wa kimataifa Kim Kardashian haukuja ghafla, tangu akiwa na umri wa miaka 13 alikuwa na ndoto za kuja kuwa mtu maarufu.
hero
Hiyo ni video ya mwaka 1994, akiwa na miaka 13 tu alisema anatamani sana kuja kuwa mtu maarufu, ndicho alichokuwa akitarajia siku moja kitokee kwake.
Katika video hiyo Kim alionekana akiwa na ndugu zake, Kourtney, Rob, Kris Jenner pamoja na Bruce.
Hii ni video ya Kim mwaka huo mtu wangu! Icheki hapa.

Previous
Next Post »