Picha: Diamond Platnumz 'Baba mtarajiwa' aanza kukusanya midoli ya mwanae kuchezea!

Diamond Platnumz kama mwanaume yeyote yule anayetarajia kuwa baba kwa mara ya kwanza tena kupitia mwanamke ampendaye, amepania vilivyo kumkaribisha mwanae kwenye sayari ya dunia.
Staa huyo ambaye hivi karibuni alikuwa nchini India, amepost picha akiwa supermarket kununua midoli kadhaa kwaajili ya mwanae huyo ajaye.


Ushamba huu, eti nimeshaanza kununua vitoy vya kuchezea,” ameandika Diamond kwenye picha hiyo.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook
Previous
Next Post »